Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Hii comment imenitia moyo sana na kuni motivate God bless you Mkuu. Natumain hii comment itakuwa faraja na ya kutia moyo kwa vijana wengine wengi wanachakalika.
To make Tanzania youth Great again.
Pamoja katika kujenga taifa.
 
Habari brother, nimepitia huu Uzi wako wote na Nimekuelewa sana.

Kuna aina ya biashara ambayo office Yako ndio dhamana Yako
Watu watajenga Imani na wewe kupitia office Yako.

Sasa Mimi Nina Imani na wewe na Naona kabisa utafika mbali kwa hii kaiz Yako.

Sasa naomba Mimi niwe mteja wako wa kwanza nikupe huo mtaji kupitia malipo Yangu.a

Natafuta KAZI nchi kama Denmark
Poland....KAZI nayohitaji ni unskilled...japo Nina kishahada...

Naomba mchakato wote gharama Yako wewe ni kiasi gani.??
Mkataba wa kazi ni muda Gani?
Malipo ya kazi kule ni kiasi gani?
Nitaondoka ndani ya muda Gani??

Nimeamua kukuamini naomba unijibu vizuri hapa ili wengine wavutiwe na utendaji wako...

Ahsante
 
Kiongozi awali ya yote naomba nikushukuru kwa vote of confidence na kuniamini. Na ili kuithamini imani yako juu yangu na juu ya ninacho fanya mchakato wote na maelezo yote yale naomba nitakuwa na uweka wazi hapa mbele ya hii jumuhiya ya wanajamii Forum wakiwa mashaihidi.

Kwa Denmark had last time ( May 22) contractor nae wasiliniaga nae juu ya deals za kazi Denmark alinihabarisha kuwa wao wamefunga vacancy ya farm workers hivyo kwanzia muda huo wanatafuta professional workers.

Ila kwa upande wa Poland contractor wangu naemtumia anasema kuna Factory jobs vacancy available ila ni pembezon sio mjii mkuu wa Warsaw ni kwa miji Krakow na Poznan.
Normally Factory works huwa Zina vary kuna metal factory, dairy products Factory, slaughter house ( machinjio) na Fishery Factory kwa kawaida applicant huwa hana Machaguo ya aina gani ya Factory, factory utakayopangiwa ndo hiyo hiyo.

Malipo/ Ujira wa kazi za Factory huwa ni kwa saa la kazi ( per hour) unless employer aseme vinginevyo kwa hiyo miji na kwa mujibu wa connection za waajiri alizonazo contractor wangu kima cha chini cha ujira kwamfanya kazi wa nje ( foreign worker )ni PLN 23 ( Sawa na 16,500Tsh per hour ( kwa saa) with arranged accommodation ( pamoja na malazi ya bure)
Na mchakato wa kupata hizi ajira una cost jumla ya 1300€ Sawa na 4million za Tz na pesa ina lipwa kwa awamu tatu zinazo amabatana na process ila pia hii cost ni ya ku secure Job na Job offer hii cost Hai usishi gharama za visa, ticket ya ndege ama gharama binafsi.
Hayo ni maelezo ya awali na ya msingi kama utakuwa na swali zaid kuwa huru kuuliza kiongozi.
 
Habari brother, nimepitia huu Uzi wako wote na Nimekuelewa sana.

Kuna aina ya biashara ambayo office Yako ndio dhamana Yako
Watu watajenga Imani na wewe kupitia office Yako.

Sasa Mimi Nina Imani na wewe na Naona kabisa utafika mbali kwa hii kaiz Yako.

Sasa naomba Mimi niwe mteja wako wa kwanza nikupe huo mtaji kupitia malipo Yangu.a

Natafuta KAZI nchi kama Denmark
Poland....KAZI nayohitaji ni unskilled...japo Nina kishahada...

Naomba mchakato wote gharama Yako wewe ni kiasi gani.??
Mkataba wa kazi ni muda Gani?
Malipo ya kazi kule ni kiasi gani?
Nitaondoka ndani ya muda Gani??

Nimeamua kukuamini naomba unijibu vizuri hapa ili wengine wavutiwe na utendaji wako...

Ahsante
Kuwa serious bro. Sasa yeye mwenyewe kashindwa kujitafutia ajira huko atawezaje kukutafutia wewe? Mtu ambaye Tsh 25,000/= hana pamoja na connections zake ni mtu asiyeaminika. Kijana akafanye hata vibarua vya kuponda kokoto ajiwekee akiba kama miezi 6 kisha arudi town kuendelea ni michakato yake.
 
😂😂😂 sitoenda kuponda kokoto zozote zile kiongozi na nitapata breakthrough humu humu kwneye hii forum ndugu yangu ilo ninaamin kwa hakika.
 
Madam Jane upo sahihi yani ninafanyaga survey na huwa najitosa sana hasa posta yani hata jana nilienda nilikutana na kihoja dada angu handler wa jengo ni kampuni flani sitohitaja ila baada ya mazungumzo nao walikubali rent ya mwezi mmoja ila kimbembe nikuwa wanahitaji nilipe security deposit sio one month but ya 3 months nikasema duu ndo utaratibu gan huu kwahyo miez 4 hapo. Lakin pia dada angu offisi is one thing bado meza na viti ( furniture) hata kama ni vya cello Lakin still namaanisha kuna another cost on top of cost. Sinauwezo wa kunyanganya na kuiba Dada angu pamoja nakuwa ni kwel Dunia haina Huruma kwa watafutaji, uwezo wangu ni huu wa kutafuta wadau na walengwa kwenye platform kama hii ya JF kuingia kwenye makubaliano ya kutunufaisha sote ama nje ya hapo kama pangekuwa na watoa mikopo kwa bisashara zinazojiestablish nazani ningekuwa wa kwanza kwenye folen maana ningelala nje ya ofisi yao.ila still Asante kwa comment yako nzuri yakutia moyo.
JF ilikuwa ya zamani sio sasa
Mimi nilikulaga zauso humu labda iwe bahati yako

Komaa kivyovyote upate hela
Ukikosa posta nenda quality center Kuna office spaces pale unapewa na ofisi kabisa full furnished na Kuna sehemu zingine pia kikubwa usikate tamaa na Wala usijitilishe huruma maana hautahurumiwa
 
Madam umenifurahisha sana. Wakati naanza biashara mwaka 2014 nililikuwa naishi Msimbazi bondeni kwenye chumba kimoja ila kuna siku nilipata laki 9 ya ghafla nikatumia laki 7 kupanga frem ya ofisi na kuweka shelf za mbao. Shelf zilikua tupu hazina bidhaa nikaweka files za kizushi. Kwenye lile jengo nilikuwa ndo mpangaji maskini zaidi. Lakini nilikomaa hadi mambo yakakaa sawa. Kuna watu kodi zilikiwa zinawashinda wanaachia frem ila mimi nilidumu hadi miaka 5 baadae nilipohama. Mwenye nyumba akadai wewe ndo ulikuwa mpangaji niliyedhani hutatoboa miezi 6 tukacheka sana.
I love your spirit
Ndo inatakiwa tuwe hivi
 
kama utashindwa kabisa kupata msaada unaouhitaji labda urudi nje ya bongo kwa mwaka mmoja ukakusanye mtaji ili ukirudi uweze kutekeleza wazo lako bila kusuasua.
 
kama utashindwa kabisa kupata msaada unaouhitaji labda urudi nje ya bongo kwa mwaka mmoja ukakusanye mtaji ili ukirudi uweze kutekeleza wazo lako bila kusuasua.
😂😂😂Popote niliposuasua katika kujieleza tafadhali niulize nikujibu kiongozi.
 
Mkuu as I told you tuombe Mambo yaende vizuri JF kuna baadhi ya watu ni wajinga watajiribu kukatisha tamaa Ila kwa Nilivyokusikiliza una potential kubwa utafika mbali Sana na upo smart Sana .
 
We mwenyewe kazi huna unagongea mpaka elf 25, alafu unataka utafutie watu kazi! Kweli maajabu hayawezi kuisha!
 
Safi sana kijana nakupongeza kwa uthubutu, hao wanaokukatisha tamaa wao wamethubutu nini?
 
JF ilikuwa ya zamani sio sasa
Mimi nilikulaga zauso humu labda iwe bahati yako

Komaa kivyovyote upate hela
Ukikosa posta nenda quality center Kuna office spaces pale unapewa na ofisi kabisa full furnished na Kuna sehemu zingine pia kikubwa usikate tamaa na Wala usijitilishe huruma maana hautahurumiwa
No one is coming to save him
 
Back
Top Bottom