Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

Kwa bajeti hiyo unapata fasta tu gari tajwa.

Lakini kama ndiyo gari yako ya kwanza unatarajia kununua bora ufanye consultation na mafundi ama wataalamu wa magari maana nasikia Nissan X-Trail ni pasua kichwa.
 
Hiyo sentence ya mwisho ni kweli kabisa. Sijajua sababu ni nini? Hasa hapa kwetu Tz
 
Hivi injin ya ist au runx ina uwezo wa kupiga masafa marefu mfano kupanda lushoto?
 
Kwa hyo bei na Gari ulizoorozesha jiandae kugombana na wote waliokuunganisha kupata hyo GARI maana hapo unanunua Vichomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…