Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

Kwa bajeti hiyo unapata fasta tu gari tajwa.

Lakini kama ndiyo gari yako ya kwanza unatarajia kununua bora ufanye consultation na mafundi ama wataalamu wa magari maana nasikia Nissan X-Trail ni pasua kichwa.
 
Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara

2007 Nissan xtrail
2005 Suzuki grand Vitara
Nissan dualis

Angalizo; ukijisikia kutukana au kukashifu, katibu depression uliyonayo, watu siku hz wanasumbuliwa na changamo ya afya ya akili
Hiyo sentence ya mwisho ni kweli kabisa. Sijajua sababu ni nini? Hasa hapa kwetu Tz
 
Hivi injin ya ist au runx ina uwezo wa kupiga masafa marefu mfano kupanda lushoto?
 
Kwa hyo bei na Gari ulizoorozesha jiandae kugombana na wote waliokuunganisha kupata hyo GARI maana hapo unanunua Vichomi
 
Back
Top Bottom