Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Xtrail hata ya 2007?Kwa bajeti hiyo unapata fasta tu gari tajwa.
Lakini kama ndiyo gari yako ya kwanza unatarajia kununua bora ufanye consultation na mafundi ama wataalamu wa magari maana nasikia Nissan X-Trail ni pasua kichwa.
Huwa wanabadili mabodi TU , key components ni zile zileXtrail hata ya 2007?
Ok, Inatumia engine gani ya 2007 na ya nyuma inatumia injin gani?Huwa wanabadili mabodi TU , key components ni zile zile
Hiyo sentence ya mwisho ni kweli kabisa. Sijajua sababu ni nini? Hasa hapa kwetu TzHabari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara
2007 Nissan xtrail
2005 Suzuki grand Vitara
Nissan dualis
Angalizo; ukijisikia kutukana au kukashifu, katibu depression uliyonayo, watu siku hz wanasumbuliwa na changamo ya afya ya akili
Kwamba hiyo pesa inaweza mpa gariz zuri zaidi ya aliyotaja?Utapata boss, japo kwa hiyo pesa nashauri utafute gari zuri zaidi
Mkuu njoo nikupe BMW X3.Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara
2007 Nissan xtrail
2005 Suzuki grand Vitara
Nissan dualis
Dah hizo za Europe naziogopa maana mafundi bongo Hawa wa Kila kitu kugonga watazieeza kweli?Mkuu njoo nikupe BMW X3.
Dah umenichekesha sanaNunua Toyota ukipata Carina, RunX, Spacio, Ist siyo mbaya achana na Nissan usije ukajaza namba za mafundi kwenye simu kuliko namba za ndugu zako