Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

kipara01

Member
Joined
May 18, 2023
Posts
29
Reaction score
44
Habari wana JF, natafuta kazi.

Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA.

Umri: Miaka 25
Experience: 1 year
Jinsia: Me
Mkoa: Mbeya

Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
 
Kwahiyo miaka yote chuoni,ulikuwa unasubilia ajira 🤔🤔.

Wazazi,walezi,wakufunzi na marafiki kumbukeni kuwaambia wanachuo ukweli kabla ya kumaliza chuo, maana siku hizi wanamaliza wakiwa wadogo kweli kama huyu.
 
Habari wana JF, natafuta kazi.

Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA.
Umri: Miaka 25
Experience: 1 year
Jinsia: Me
Mkoa: Mbeya

Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
Kujiajiri mwenyewe huwezi?.
 
Back
Top Bottom