Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Tatizo ya vitoto vilivyotoka chuon hiv karibuni vinahis maisha ya kutafta CA nisawa naya mtaani. Tena inaonekana ajawai fanya interview ata moja huyoHahaha mshahara shilling ngapi vileeee ?
Wenzako tunapambana kutafuta sehemu ili tujitolee afu ww unaleta pumba zako
Tatizo ya vitoto vilivyotoka chuon hiv karibuni vinahis maisha ya kutafta CA nisawa naya mtaani. Tena inaonekana ajawai fanya interview ata moja huyo
Hapo nais ameisha kata tamaa maskinikuna dada namjua alisoma Sauti hiyo sociology akakosa kazi akenda soma masters ya public health bado yupo mtaani hana kazi, anataka hata kazi ya laki 5 lkn hajapata
Mkuu najiajiri kivipi na hii shahada yangu.Wasomi bwana uzoefu huna na mshahara unapanga kabisa
Ngoja upigwe na maisha kisawasawa utataka hata sehemu wanayotoa mshahara laki
Mkuu najiajiri kivipi na hii shahada yangu.
Napenda kuimba, naimba sana ila bado najipanga zaidi, natunga na nyimbo pia.
- Tafta kitu unachokipenda alaf ketengenezee mazingira ya kuwa fulsa katika jamii inayokuzunguka.
- Tafta kitu ambacho ni challenge kwenye jamii yako ukifanye fulsa.
- Tafta kitu kinachopendwa hapo ulipo ukifanye kwa njia ya tofauti ili kuwavutia zaid watu.