Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Umesomea Sociology au Human resource mana km I'view HR anafunga vilivyo vyake anasepa.
Ndugu work to learn not to earn kwa sasa
Ndugu work to learn not to earn kwa sasa
Habari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.
Sina uzoefu.
Nina miaka 24
Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.
Natanguliza shukrani wakuu.
Mkuu huna akili kichwaniMm nakushauri tuu Olewa kama bado
mwanzoni nilipoona umeandika kabisa mshahara nilidhani unajitambua sana, hata walioanza kukushambulia kwamba kwa nini huna uzoefu lakini bado umejipangia mshahara nilitaka kuanza kuwapinga moja baada ya moja, ila katika hii post yako ulivyooandika kwamba wewe mwenyewe hujui jinsi ya kujiajiri katika shahada yako ya hiyo ya sociology-nikajiwekea hitimisho kuwa hujitambui.Mkuu najiajiri kivipi na hii shahada yangu.
Habari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.
Sina uzoefu.
Nina miaka 24
Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.
Natanguliza shukrani wakuu.
Mkuu huna akili kichwani
What Can You Do?
Mimi nimekuzidi akili Mara 20, 000ni kweli sina ila ww naona kama ndo huna zaid
Mimi nimekuzidi akili Mara 20, 000
Wright song wants an 800K Salary..I can sing, and wright song
Sio kila anae andika nyimbo na kuimba basi anafanya hivyo kibiashara.Wright song wants an 800K Salary..
Wright song dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kila anae andika nyimbo na kuimba basi anafanya hivyo kibiashara.
Katika ujinga ambao sitoufanya duniani ni kuimba muziki na kuandika nyimbo ili niuze nipate pesa. I'll not do that in my life time.
But I'll write song, I'll sing for the will of God only.
Hivyo nitaimba bure popote niendapo.
I can sing, and wright song
Meneja anatafuta kazi , hii kali ya mwakaHabari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.
Sina uzoefu.
Nina miaka 24
Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.
Natanguliza shukrani wakuu.
HahahahahaahaaaaaaMeneja anatafuta kazi , hii kali ya mwaka