Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

Aliyekutuma kusomea socialogy ndio atataka kusikia huu upambavu wako WA laki 8..........wewe jipange kwenda stoo kuhesabu creti za via n soda.......au kutumwa faili ofisini.......haafu ndio utaona hiyo laki8 inatokea kwenye tundu gani
 
Hahahaha sociology unataka laki nane ,omba sana Mungu upate kwenye mashirika ila ikiingia serikalini utaanza 520000
 
Back
Top Bottom