Bas fanya hiyo kama fulsa. Na usisubir had uingie studio ndio utoke unaweza anzisha ata page kwenye social networks ukawa unaweka video zako mwisho wa siku ukajikuta unatoka, ama ondoa aibu anza kufanya live show kwenye mahotel ya wastarabu, kumbuka kuna watu wanavutiwa na mziki wa live band tumia hao kama fulsaNapenda kuimba, naimba sana ila bado najipanga zaidi, natunga na nyimbo pia.
Bas fanya hiyo kama fulsa. Na usisubir had uingie studio ndio utoke unaweza anzisha ata page kwenye social networks ukawa unaweka video zako mwisho wa siku ukajikuta unatoka, ama ondoa aibu anza kufanya live show kwenye mahotel ya wastarabu, kumbuka kuna watu wanavutiwa na mziki wa live band tumia hao kama fulsa
[/QUOS
PoaShukrani sana mkuu
Nimeamua kuzifunga kampuni zangu kwa muda.Meneja wa makampuni tena unatafuta kazi?
Huyu anapenda ngono na kula denda. Kwahiyo awe changudoa sio?
- Tafta kitu unachokipenda alaf ketengenezee mazingira ya kuwa fulsa katika jamii inayokuzunguka.
- Tafta kitu ambacho ni challenge kwenye jamii yako ukifanye fulsa.
- Tafta kitu kinachopendwa hapo ulipo ukifanye kwa njia ya tofauti ili kuwavutia zaid watu.
Sawa ila asisahau mashine ya kutoa lisit maana nimegundua wao wanaofanya hyo biashara wanaongoza kwa kutokulipa kodi😂😂Huyu anapenda ngono na kula denda. Kwahiyo awe changudoa sio?
Napenda kuimba, naimba sana ila bado najipanga zaidi, natunga na nyimbo pia.
Wewe ndiye unajaribu kuwa shoga ili tuanze kukutongoza mitandaonihalafu naweza kuwa najibishana na shoga
Kumbe ni buku7 hiyo!
Mkuu kupata kazi kunatokana na bahati ya familia anayotoka mhusika, Kuna familia ambazo zinasoma kwa kuwa SASAHIVI wigo wa elimu umepanuka, Ila ukirudi kwenye chimbuko la familia hakuna hata aliyewahi ajiriwa, kwa kiasi Kikubwa watu huwa wanasahau hiki kipengelekuna dada namjua alisoma Sauti hiyo sociology akakosa kazi akenda soma masters ya public health bado yupo mtaani hana kazi, anataka hata kazi ya laki 5 lkn hajapata
Ushajipangia kabisa laki 8 ee, baba zako na PhD wanalipwa laki 5. Anyway huenda una ujuzi wa kutibu koronaHabari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.
Sina uzoefu.
Nina miaka 24
Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.
Natanguliza shukrani wakuu.