Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

Kwa taaluma yako unatakiwa kuwa pale ustawi wa jamii. Ninyi ni watu muhimu sana. Sababu sociology inahusika sana katika mbinu na kuijenga jamii sahihi.

Mimi nilisoma kama course material yake yalinisaidia sana kuelewa jamii inakwendaje...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28]
 
Hii kweli kabisa
 
Jiajiri
 
Mmmmh ww si ulisema ulikuwa unafanya kazi NACTE kitengo cha udahiri badae ukapata TCU kitengo cha udahili wa wanafunzi ?

Au ndo unachangamsha kijiwe nn leo
Hahahah...Jamaa ni Meneja ila nasha gaa anatafta kazi tena.
 
Habari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.

Sina uzoefu.

Nina miaka 24

Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.lr

Natanguliza shukrani wakuu.
Chukua form utie nia kama Upinzani!
 
Uko vizuri sana!
 
We si meneja wa makampuni au? Sasa unapigikaje.
 
Makampuni gani kwanza unayomanage? Mimi nahitaji kuyatumikia hayohayo 😀
 
"Laki nane net baada ya makato" Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
 
Elimu na maisha vitu viwli tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…