Pole sista!
Ni pepo,tena linakujaga kwa namna mbali mbali,shukuru pia na amini umeweza tambua hilo kwa sala zako,vinginevyo ungekua hausali kabisa ungekuta lishatimiza lengo lake,
inawezekana victim sio wewe kuna mahali linakuandaa ili ya timie,
e.g kuna mtoto linamtaka ama mtu wa karibu sasa linakupa akili hiyo,na siku ikitimia either utajikuta umefanya kitu bila kutambua kwa mfano umeamua kunywa sumu na ukaanda mazingira mtoto ama mlenga akapita nayo bila kujua.
Nenda kanisani wakuombee na kila ukisali taja DAMU YA KRISTU,
Imetokea juzi kwa msichana wa kazi wa mtoto wangu,yeye alikua anakabwa usiku,siku ya siku akakabwa mpka akatapika,tulipo hoji tukitegemea vingine kama malaria,mimba n.k majib yalikua tofauti,kwamba anakabwaga usiku na mmama mmoja ambaye hamtambui ingawa kanisani anaenda na biblia anasoma,wakati wa biblia akisoma kiasi tu anashikwa na usingizi mzito hapohapo,maana linaweza kukufanya hata wewe uchague kanisa ama misa,likuchagulie pakusoma ama likutoe mawazo kila unapo dhamiria kuisoma na kuitafakari kwa undani
Wife akashtuka kidogo,akamuuliza hua unasali,akatoa majibu hayo hapo juu,akamwambia kila unaposali jaribu kutaja DAMU YA KRISTU alipomaliza kutamka hapakukalika alipiga ukunga mpaka watu wakakimbia,akapewa maji ya uzima na rozari,mziki uliendelea mpaka asubuh na kutapika kwingi,kelele na kujitupa tupa,tukampeleka kanisani kwenye karesmatic,siku mbili akarudi mzima na yupo na yesu na yametoka.
DAMU YA KRISTU IKULINDE