Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

pole sana bidada, ushauri umeshapewa fanya yote uliyoshauriwa hapo juu na mwisho usisahau kukemea hiyo spirit of death (pepo la kujiua, roho ya mauti) it is an issue!

I am glad umeweka wazi, nusu ya ushindi tayari. I hope hao ndugu zako hawatafungwa kiimani na kudharau shida yako.

Asante sana,, naendelea kuomba,,, hamjui ni kiasi gani mlichonisaidia na kunitia nguvu.... Mungu wangu ninaye muamini hataniacha kamwe naamini hata nikipita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa..
 
sijawahi kuombewa kwa ajili hio na sijawahi kumueleza mtu yaani leo it is my first day kuongea kiyu kama hiki, i kept it to my herat to this day, sijui ni kitu gani sijui na ni hali ambayo hailezeki

it is ok,, ninaelewa unavyojisikia ni kweli kama hajawai ipata hawezi kuielewa lakini ni vizuri kushirikisha watu wa Mungu wanamaombi na wewe kusali pia mimi hii ni mara ya pili inanipata.. lakini Mungu huwa anasikia sana unapomuomba kwa kumaanisha with ur whole heart.. ila I AM GLAD KUWA ITS BEHIND U NOW
 
umelogwa dadaangu, kimbilia kwa Yesu Kristo WaNAZARETHI fungua moyo wako aingie ndani yako mapepo yote yatakimbia
nautakua huru, naumtafakari alieteswa msalabani kwajili ya uzima wako alikuthamini
sana kwahiyo0 heshimu uhai wako,0 kujiua nikumkufuru Muumba wako.





0
 
Pole sista!
Ni pepo,tena linakujaga kwa namna mbali mbali,shukuru pia na amini umeweza tambua hilo kwa sala zako,vinginevyo ungekua hausali kabisa ungekuta lishatimiza lengo lake,
inawezekana victim sio wewe kuna mahali linakuandaa ili ya timie,
e.g kuna mtoto linamtaka ama mtu wa karibu sasa linakupa akili hiyo,na siku ikitimia either utajikuta umefanya kitu bila kutambua kwa mfano umeamua kunywa sumu na ukaanda mazingira mtoto ama mlenga akapita nayo bila kujua.

Nenda kanisani wakuombee na kila ukisali taja DAMU YA KRISTU,

Imetokea juzi kwa msichana wa kazi wa mtoto wangu,yeye alikua anakabwa usiku,siku ya siku akakabwa mpka akatapika,tulipo hoji tukitegemea vingine kama malaria,mimba n.k majib yalikua tofauti,kwamba anakabwaga usiku na mmama mmoja ambaye hamtambui ingawa kanisani anaenda na biblia anasoma,wakati wa biblia akisoma kiasi tu anashikwa na usingizi mzito hapohapo,maana linaweza kukufanya hata wewe uchague kanisa ama misa,likuchagulie pakusoma ama likutoe mawazo kila unapo dhamiria kuisoma na kuitafakari kwa undani

Wife akashtuka kidogo,akamuuliza hua unasali,akatoa majibu hayo hapo juu,akamwambia kila unaposali jaribu kutaja DAMU YA KRISTU alipomaliza kutamka hapakukalika alipiga ukunga mpaka watu wakakimbia,akapewa maji ya uzima na rozari,mziki uliendelea mpaka asubuh na kutapika kwingi,kelele na kujitupa tupa,tukampeleka kanisani kwenye karesmatic,siku mbili akarudi mzima na yupo na yesu na yametoka.

DAMU YA KRISTU IKULINDE
 
ndugu pole sana ila lazima utakuwa na depression sema hufahamu maana ndio huandamana na suicidal ideations (mawazo ya kujiua) pengine katika hiyo safari yako ndefu au ulikokuwa kumetrigger depression jaribu kufikiri kwa makini au kawaone watu wa magonjwa ya akili/wanasaikolojia. mi mwenyewe huwa inanitokea na sometime kwa nguvu hadi nafikiria nikanunue insulin nijioverdose lakini nikifikiria watu wanaonizunguka najiona ntakuwa msaliti and the good thing najua tatizo ni nini kwa hiyo najitahidi kuliepuka kwa hiyo ukijua tatizo utakuwa umepiga hatua kubwa sana.
 
Nenda ukaombewe dada una mapepo ya mauti .
 
NB hii hali hiko nyuma ilishawahi kunitokea mara kadhaa ila nikaweza kujikaza na kuishinda nilisali na kuombewa lakini kwa sasa naona imekuja kwa nguvu zaidi..kusali ninaendelea ila najiuliza kwa nini linanijia?
Pole sana sana
 
Back
Top Bottom