Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam Wakuu

Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.

Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni.

Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya sekondari Edmund Rice Arusha. 6km mpaka kufika arusha city center clock on tower.

Kimeshuka bei, ...🔥🔥🔥🔥🔥
Picha za kiwanja hizi hapa wakuu, karibuni sana.

IMG_20230128_071604_004.jpg
IMG_20230128_074153_658.jpg
IMG_20230128_072911_714.jpg
IMG_20230128_082648_975.jpg
 
Kiwanja ni surveyed? Ramani ya mipango mji ya hilo eneo unayo? Why mpaka sasa hakina hati miliki kutoka wizarani?
 
Kiwanja ni surveyed? Ramani ya mipango mji ya hilo eneo unayo? Why mpaka sasa hakina hati miliki kutoka wizarani?
Mkuu kiwanja sio surveyed na vile vile ramani ipo wizara ya ardhi utaipata siwezi kuwa nayo kwani maeneo mengi huku ni squater, wananchi hawana interest sana ila kuuziana kisheria ni muhimu kuliko vitu vyote.
 
Mpe hio 7.5M acha maneno mengi wenye Pesa hawaongei sana, ukijijua wewe kwenye za biashara unapiga sana domo jua hauna Pesa waachie wenye Pesa wanunue
Kinatoka siyo muda kuna mtu kafika sita
 
Back
Top Bottom