Mkuu kiwanja sio surveyed na vile vile ramani ipo wizara ya ardhi utaipata siwezi kuwa nayo kwani maeneo mengi huku ni squater, wananchi hawana interest sana ila kuuziana kisheria ni muhimu kuliko vitu vyote.Kiwanja ni surveyed? Ramani ya mipango mji ya hilo eneo unayo? Why mpaka sasa hakina hati miliki kutoka wizarani?