Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Wazo lako ni kama la kwangu. Ila tofauti ni kiasi tu ukicho target , Mimi nimetaget gawio la kuanzia 1mil, ikifika hapo nitaacha vibarua vya serikari.
How to get it?

Ukisema uitafute yote kwa mkupuo ni ngumu kuipata, ila njia nzuri ni kuweka saving kidogo kidogo, ukipata 20k unaweka,ukipata 10k unaweka, mimi natumia njia hiyo na nikuambie tu nimeanza na pesa ndogo sana Tsh 50,000/=.ni mpango 2a muda mrefu sana, ila kwa Sasa zimefika kama 9milioni.

Kama unajua forex vizuri, unaweza kuwa unapata vilakilaki unaweka saving, ila ukitaka pesa ya mkupuo na hauna dhamana yoyote ni ngumu kutoboa.

Mimi kwangu hakuna pesa ndogo mfuko wa bond unaruhusu top up kuanzia 5,000/=, Mimi Kila pesa nayopata kuanzia 5,000 huwa lazima niende bank ya CRDB naweka kwenye account yangu ya mfuko wa BOND, njia ya saving inaokoa sana faida yake utakuja kuona baadae, unajikuta umefikisha milioni Moja wakati ulikuwa unaweza saving za 50k 10k.

Anyway kwangu Mimi njia ya kwanza ni nanayotumia ni Saving, ya pili forex,ya tatu kazi za mtaani za ujenzi,ya nne black dili,Kuna zingine ni Siri yangu siwezi kuweka public hapa.
 
Asante umenipa moyo nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Dah maisha haya , hiyo m30 ni mshahara wa mtu hapa TZ
 
Dah maisha haya , hiyo m30 ni mshahara wa mtu hapa TZ
 
kamata bunduki nenda benki kuu
 
Fanya biashara boss, ila kuanza biashara sio lazima uwe na cash. Haulewi vizuri naichie comment.
 
Anza biashara ya kuuza sigara na kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…