Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
au afuge kukuNENDA UKALIME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au afuge kukuNENDA UKALIME
Akalime!!!!!!NENDA UKALIME
Kutafuta kuishi Kwa kula riba ni kuzingua!?ILA WALIMU MNAZINGUA SANA
Mambo ya Mr kuku haya
Asante umenipa moyo nitaufanyia kazi ushauri wakoWazo lako ni kama la kwangu. Ila tofauti ni kiasi tu ukicho target , Mimi nimetaget gawio la kuanzia 1mil, ikifika hapo nitaacha vibarua vya serikari.
How to get it?
Ukisema uitafute yote kwa mkupuo ni ngumu kuipata, ila njia nzuri ni kuweka saving kidogo kidogo, ukipata 20k unaweka,ukipata 10k unaweka, mimi natumia njia hiyo na nikuambie tu nimeanza na pesa ndogo sana Tsh 50,000/=.ni mpango 2a muda mrefu sana, ila kwa Sasa zimefika kama 9milioni.
Kama unajua forex vizuri, unaweza kuwa unapata vilakilaki unaweka saving, ila ukitaka pesa ya mkupuo na hauna dhamana yoyote ni ngumu kutoboa.
Mimi kwangu hakuna pesa ndogo mfuko wa bond unaruhusu top up kuanzia 5,000/=, Mimi Kila pesa nayopata kuanzia 5,000 huwa lazima niende bank ya CRDB naweka kwenye account yangu ya mfuko wa BOND, njia ya saving inaokoa sana faida yake utakuja kuona baadae, unajikuta umefikisha milioni Moja wakati ulikuwa unaweza saving za 50k 10k.
Anyway kwangu Mimi njia ya kwanza ni nanayotumia ni Saving, ya pili forex,ya tatu kazi za mtaani za ujenzi,ya nne black dili,Kuna zingine ni Siri yangu siwezi kuweka public hapa.
😂🤔ILA WALIMU MNAZINGUA SANA
kamata bunduki nenda benki kuuNataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi.
Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu.
Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa ajili ya familia na watoto.
Natanguliza shukrani.
Kawaida mkuu,Hiyo 30M ni mshahara wa mtu hapa TANZANIA. Aseeeeeeeeee
Naomba namba ya lipa nambaLipia tangazo
Anza biashara ya kuuza sigara na kahawa.Nataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi.
Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu.
Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa ajili ya familia na watoto.
Natanguliza shukrani.