Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Biashara za kwenye karatasi ni rahisi sana.
Sema pale kwenye zile hesabu kuna walakini,yaani najiuliza kwa nini mmiliki wa hiyo lodge aachie mapato ya milioni 5 akubali kumwachia mtu kupewa mapato ya milioni 1 kwa mwezi.
 
Yaani umesevu milioni 64 ndani ya miezi nane kwenye mshahara 😀😀yaani maana yake kila mwezi ulikuwa unasevu milioni 8,
Kama ni mtumishi wa Umma utakuwa ni mzee wa magumashi,
 
Kama 14 m ni gross basi take home yako haizidi 9m
 
Yaani umesevu milioni 64 ndani ya miezi nane kwenye mshahara 😀😀yaani maana yake kila mwezi ulikuwa unasevu milioni 8,
Kama ni mtumishi wa Umma utakuwa ni mzee wa magumashi,
Kuna watu wanalipwa mil 20 kwa mwezi mm ni shuhuda bosi wetu alikuwa ni md wa shirika take home mil 20 sema alikuwa analipwa in usd so sishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…