Nina siku 9 tu lakini nimetumia gb 454.8 nahofia wataniminyia speed

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
760
Reaction score
1,875
Ni vodacom Nimelipia speed ya 20mbps 115,000 kifaa nimeuziwa 105,000 ni 4g
20250715_070250.jpg
Screenshot_20250723_125105_Chrome.jpg
Screenshot_20250723_124212_Chrome.jpg
20250723_125543.jpg
 
Hiyo ingeingia anga zangu ningepakua(download) movie Kama sina akili timamu.
Nahisi ningelala YIFY MOVIES.
Najaza 3 ext HDD zangu za 1TB each. Nafuta najaza tena.
Labda kama unafanya biashara ya movie, kama hufanyi, basi usingehaika hivyo kama tu hiyo router ni ya kwako,
Kitu kikishakuwa chako, kuna hali fulani hivi inakuwepo, huna hamu nacho kama ukiwa huna.
 
Sure.
Ila hiyo ningefanya inaitwa hasira ya pesa yako au uswahili Swahili tu, roho mbaya.
Naingia site za Tutorial mbalimbali za video n.k.

Wakati ni Mdogo home palikuwa na Desktop na mshua alikuwa ana limit sana muda wa Kucheza Video games, Nilikuwa nawaza Nikikua ntanunua Gaming laptop na ntacheza sana Magemu ila mambo ni tofauti sana Leo PC nikitoa kwenye begi ni Kusoma email labda na Kufanya reporting Kwa Uchache the rest inarudi kwenye Bag na Wala Sina time nayo kabisa
 
Sure.
Ila hiyo ningefanya inaitwa hasira ya pesa yako au uswahili Swahili tu, roho mbaya.
Naingia site za Tutorial mbalimbali za video n.k.
Ungefanya kwa siku za mwanzo mwanzo ila baada ya hapo ungepoa..
Nilijiunga halotel fibre yao, 40mbps ni 95k/month.

Siku za mwanzoni mwanzoni, jila jambo nataka nifanye mimi, mbele ya safari ikawa kawaida saaana, mpaka pale tulipokuja kushindwana na halotel.
Sasa hivi wana system mpya nataka niwajaribu tena
 
Walikwama wapi mkubwa na hiyo mpya ni ipi.
 
Back
Top Bottom