Nina siku 9 tu lakini nimetumia gb 454.8 nahofia wataniminyia speed

Nina siku 9 tu lakini nimetumia gb 454.8 nahofia wataniminyia speed

Hiyo haina kikomo na speed haipungui, mimi ninayo miaka inakaribia mitatu sasa nilichukua 30Mb/s. Tunashea watu kama 5 hivi na kwa mwezi tunatumia mpaka 4TB bila mkwamo wowote
Mkuu umeshindwa kutofautisha kati ya ukomo wa speed na ukomo wa data

Mitandao mingi wana ukomo wa speed kali hasa kwa wale wa vifurushi vya chini

Unaweza kuta umenunua cha 10MBPS ukatumia kama 650GB hivi wakashusha speed ila ukaendelea kupata huduma kwa speed ndogo hadi mwisho wa mwezi
 
Throttling ndio kufanyaje?,nifumbue macho
Ni pale ambapo mtoa huduma ya internet (ISP), ana amua kupunguza speed ya internet pale inapofikia Kiwango fulani cha matumizi, Mfano Airtel ile package yao ya 10mbps ukifikia around 600GB wanapunguza speed kutoka 10mbps mpaka around 400kbps, internet unaendelea kupata ila haina speed tena.
 
Hiyo ingeingia anga zangu ningepakua(download) movie Kama sina akili timamu.
Nahisi ningelala YIFY MOVIES.
Najaza 3 ext HDD zangu za 1TB each. Nafuta najaza tena.
Leta pesa nikuachie, ninayo kama hio inazagaa zagaa tu ndani
 
Mkuu kama naweza kununua kwako si bora nikanunue kwa ISP wenyewe?
Shida siyo device bali kulipia hiyo service (kifurushi).
Kwa sasa nina majukumu na mipango mingi sana, Sina matumizi muhimu sana ya kuhitaji hiyo service ya gharama kubwa.
Leta pesa nikuachie, ninayo kama hio inazagaa zagaa tu ndani
 
Back
Top Bottom