Mkuu umeshindwa kutofautisha kati ya ukomo wa speed na ukomo wa dataHiyo haina kikomo na speed haipungui, mimi ninayo miaka inakaribia mitatu sasa nilichukua 30Mb/s. Tunashea watu kama 5 hivi na kwa mwezi tunatumia mpaka 4TB bila mkwamo wowote
Throttling ndio kufanyaje?,nifumbue machoUkifika 1TB wanafanya throttling.
Ni pale ambapo mtoa huduma ya internet (ISP), ana amua kupunguza speed ya internet pale inapofikia Kiwango fulani cha matumizi, Mfano Airtel ile package yao ya 10mbps ukifikia around 600GB wanapunguza speed kutoka 10mbps mpaka around 400kbps, internet unaendelea kupata ila haina speed tena.Throttling ndio kufanyaje?,nifumbue macho
Leta pesa nikuachie, ninayo kama hio inazagaa zagaa tu ndaniHiyo ingeingia anga zangu ningepakua(download) movie Kama sina akili timamu.
Nahisi ningelala YIFY MOVIES.
Najaza 3 ext HDD zangu za 1TB each. Nafuta najaza tena.
Leta pesa nikuachie, ninayo kama hio inazagaa zagaa tu ndani
Nirushie bei PM.Sawa ila hizo device zipo zilizotolewa kwa taasisi kwa bei ya chini zaidi.
Ha ha haaa.Mimi bado ni hohehahe Mkuu, huwa najiunga bundle la jero 😎🤠
🤠🤠🤠 sawa Mkuu, mimi nipo sina jamboHa ha haaa.
Jero jero ndiyo mpango mzima.
Okay, nilikuwa nakuchokoza tu nilitaka nione mwandiko wako.
Sijauona siku nyingi hapa JF.
Unauza.shingapiLeta pesa nikuachie, ninayo kama hio inazagaa zagaa tu ndani