Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

no cap mbeya
imeanza kuwa na magumashi hivi kuna mwanangu aliniambia daah

ndugu yangu watoto wa dar wengi sana siku hizi uku ata mashoga wameanza kusogea

kuna club yangu pendwa inaitwa mbeya pazuri

mashoga kibao siku hizi kila kitu kinabadilka siku hizi
Mmiliki wa Mbeya pazuri yasemekana ni bwabwa kwa hiyo ukiona mabwabwa wamejaa hapo ujue wamemfuata mwenzao🤣
 
Dar Sam nujoma Road karibu na hostel zile kila siku watu wanaporwa
Ukienda masaki obay watu wanaporwa sim
Mlalakuwa darajani pale watu wana porwa
Jangwani pale watu wana porwa

Ova
 
no cap mbeya
imeanza kuwa na magumashi hivi kuna mwanangu aliniambia daah

ndugu yangu watoto wa dar wengi sana siku hizi uku ata mashoga wameanza kusogea

kuna club yangu pendwa inaitwa mbeya pazuri

mashoga kibao siku hizi kila kitu kinabadilka siku hizi
Mashoga wapo mbeya tangia siku nyingi tu usitake kusema watoto wa dar ndio wamekuja kuleta ushoga wakati mapunga wapo kitambo
 
Wanaoiba kwa njia ya pikipiki Dar wanaitwa "vishandu" hayo ya mbeya yanaitwa 'Mashandu'
 
Kona ya karibu na hospitali iliyo karibu na JKT-SIMIKE,META,KADEGE.CRDB-mjini,airport -SONGWE-nilikuwa najiwazia kwa sauti tuuu🤣🤣
Mkuu inabidi nikutafute uniambie majina yote ya hizi sehemu!
 
Ndio Mkuu buku Tano Yako unapata utelezi ni balaaa pale
Bora niende mafiati(canival)nijipatie utelezi kwa 2000 tuu kuliko niende Mbeya pazuri nikakutane na yale mashangingi ya kiume(NAHISI KINYAA SANA)
 
Wenyeji hatujawahi kuibiwa na tunarudi hadi saa sita za usiku home, huku uswahilini kwetu Kuna amani tele, itakuwa airport ya zamani huko ndo Kuna vibaka na isanga
 
Mnaifuatilia mbeya sijui mnataka wahuni wa mbeya waje kuwafiraaaaaa
 
Back
Top Bottom