Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Mmiliki wa Mbeya pazuri yasemekana ni bwabwa kwa hiyo ukiona mabwabwa wamejaa hapo ujue wamemfuata mwenzao🤣no cap mbeya
imeanza kuwa na magumashi hivi kuna mwanangu aliniambia daah
ndugu yangu watoto wa dar wengi sana siku hizi uku ata mashoga wameanza kusogea
kuna club yangu pendwa inaitwa mbeya pazuri
mashoga kibao siku hizi kila kitu kinabadilka siku hizi
