Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

Ila binadamu wabishiii ...
Yaani wenzio wanakutana Pakistani mara Uswizi huko ili tu kumalizana na tofauti zao za vita, ila wewe unajitafutia adui na vita vya lazima...

Kwani umechoka na amani yako ya moyo??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mtumishi sifanyi betting,,,,na sina starehe yoyote nahisi labda nikutopata majukumu ya ndoa maana inasemekana lazma uwe makini katika kumenej
unazani usipokuwa makini hv sasa ukiwa peke yako hu9 umakini utaupata ukiwa na mkeo...?
Epuka vtu visivyo muhimu katika matumizi yako mtumishi.
 
Kama mshale mkononi mwa shujaa ndivyo walivyo Wana wa ujanani, mkuu kuliko kuwaka tamaa oa kwanza inavoonekana wewe ni mcha Mungu.
 
Kutaka kuoa kisa umri umeenda nakupa pole sababu yeyote kwako utaona ni sahih "ndege wanaofanana huruka pamoja" tafta mnaeendana wamo weng tu kanisan oa kama ukikoswa omba ushaur kwa mchungaj wako uoe binti gan
Wachungaji wenyewe wanawapika miti mabinti na wewe unampa ushauri amuombe Mchugaji wake aoe binti gani, Wachungaji wasikuhizi Waongo waongo Mchungaji anaweza kumuingiza chaka akamchagulia Binti kimeo kachatoa mimba zaidi ya Tano, Mabinti wengi wa kilokole wametumika sana kule kanisa wanaenda kujivua Gamba wanakua na historia mbaya wamepitia. Mimi na Mshauri atafute binti mtaani au arudi kijijini kuna mabinti wadogo tu wengi wa kuoa wenye umri chini ya miaka 22 watoto wametulia wapo chini ya Wazazi.
 
ni kweli wengi wao wameenda kujivua gamba unapotaka kuoa lazima ujue past ya mwanamke ujue mahusiano yake,
Tabia,uadilifu n.k ili ufanye maamuz sahih usiamin kwa macho chunguza
 
Church boys bhana mnachekesha sana. Na ulivyokua naive wewe nina uhakika utaangukia mikoni mwa damaged woman.

Ongea na wazee wakutafutie mke. You are naive,you lack wisdom, you don't know women's manipulation tricks. Probability ya kupata chaguo bovu ni kubwa zaidi kwako ukifanya uchaguzi mwenyewe
 
Mnachelewa kuoa badae mnakuja kupata watoto mkiwa wazee mtoto anakua kama mjukuu wako..
 
bro bila kuwa mafia kwny hii dunia hutoboi kwnz uyo manzi alokuja na mimba ya pili ungemchana 2 hutaki mazoea angelazimsha ungeteneza mazngra umle ndogo mana n mpuuzi, mke wa m2 kwann akuletee mazoea, ktendo cha ww kumpa attention mojakwamoja kinaonyesha upo desperate mno na ndo madhara ya dini zenu hzo after all 2naishi mara moja 2nakufa mara moja.
 
ACHA UJINGA ALIWAZALO MJINGA NDILO HUMTOKEA ..
JICHANGANYE NDOA KUIFUKUZIA HALAFU UANZE KUIKIMBIA TENA UJE KUTUSUMBUA NA NYUZI OOOOH MKE WANGU ANA NISALITI MAISHA ULIYONAYO YAFULAHIE WEWE KWA AKILI ZAKO UNAJUA FURAHA ANAKULETEA MWANAMKE ...
 

SIJASOMA YOTE lakini; miaka 31 kwa mwanamme hujachelewa kuoa hata kidogo hivyo usijipe stress za bure
Wanao wahi kuoa kwenye 20s ni wale wa liwalo na liwe au wale walio bahatisha maisha au waliotoka na wachumba vyuoni....Weka mambo yako sawa na jipange by 35 uwe umeoa.
 
Ni stress tu za kuoa au Kuna lingine nyuma ya pazia 😝.
Jogoo anawika vizuri?
 
Amina sana mtumishi,,,ntachukua hatua naamini Mungu atanitangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…