Barikiwa kwa kufafanua vizuriMke anatoka kwa Mungu, watoto wanatoka kwa Mungu.
Mungu ndio mpaji wa kila kitu.
Lakini, Wakat unataka kuoa au kuolewa unaomba Kibali kwa Mungu, na ww unachukua hatua ya kumtafuta unayeona anafaa. Na ukimpata utasema Mungu kanipatia huyu.
Na sio kusubiria Mungu akushushie mwanamke 😊😊😊😊. Hapana.
Ila Ni kibali kutoka kwake unaomba cha kuwa na Mke/mume.
Ahsantee mkuu , Mungu akubariki sana kwa ushauri wako murua,,,itabidi nisahau memory za nyuma na matukio hayo ili nisonge mbele.Je unataka kuoa ama una stress na presha za kutoka kwa ndugu na marafiki wanaokuzunguka?
Ama unataka kuoa sababu age mate wako wote wameoa?
Kwanini unataka kuoa? Je uko teyari ama ni pressure?
Kwanza
Hakuna umri sahihi wa mwanaume kuoa so hujachelewa ukitaka unaweza oa hata na 50 ama 60. Cha msingi tunza afya tafuta pesa
Pili
Maisha ni yako hakuna wa kukupangia na hakuna mtu wa kukuuliza maswala binafsi ya maisha yako na sio sahihi kukuliza umeoa, unasubiri nini mpaka sasa sababu hakuna anayejua unayopitia(labda wewe hanithi)Je inawahusu? Na hata ukioa ama usipooa hao wanaouliza wanafaidika na nini? Kwenye nyakati ngumu je watakuletea hata kibaba cha unga? Ama hao hao ndio watakucheka na kukukebehi kwamba umekimbilia kuoa ukinzani ndoa ni mchezo mchezo.
NDOA
Ndoa ni jambo jema sana ukipata mtu sahihi na baraka za muumba, unaweza kufanikiwa mpaka ukashangaa ulikua wapi.Pia ndoa ni jehanam unaweza uka-lost na ukafilisika kabisaa ukajuta kwanini ulioa.
Usi-force mambo, upe mda nafasi ujachelewa bado, tafuta mtu sahihi, omba na Mungu akuoneshe ishara ya mtu sahihi
“BE WISE”
Acha uzwazwa mwanaume mzima unapata stress hata uchumba wenyewe bado ukiingia kwenye ndoa unaenda kufa . Ndoa siyo kiherehere
Mwanaume unapewa stress na watu wa miguu miwili kuhusu kuoa aaaah brother acha bangi
Mtumishi wa Mungu wala haombi mke ukimtumikia Mungu Mungu akakueshimu yeye mwenyewe anakuletea unayefanana naye
Acha ushamba labda hujui wito wako wala kumtumikia Mungu hujui pole sana
Kama stress hata uchumba bado ukioa ndo unaenda kujinyonga kabisa bora ukae hivyo tu
Apigie nyeto tuWewe mafuta ya upako unatumia kama bia au unayapigia punyeto?
Tuliooa na 24 sijui tunaweka wapi sura zetu. Huu ushauri auzingatie. Kama stress za kuwa single haziwezi sijui kama anaweza kuvumilia za ndani ya ndoa
Naamini mambo yatakuwa sawa kabisa sema ni ili stress fulani ikichanganywa na kaupweke fulaniTuliooa na 24 sijui tunaweka wapi sura zetu. Huu ushauri auzingatie. Kama stress za kuwa single haziwezi sijui kama anaweza kuvumilia za ndani ya ndoa
Amina mkuu MUNGU anaenda kuniangazia,,namheshimu sana MUNGU mpaka hapa mtaani kwangu jina langu naitwa Mtumishi au Mchungaji,maana kile ulichokibeba au maisha yako halisia ya kiroho Huwa hayajifichi,,maana sisi ni Nuru ya ulimwenguKama mshale mkononi mwa shujaa ndivyo walivyo Wana wa ujanani, mkuu kuliko kuwaka tamaa oa kwanza inavoonekana wewe ni mcha Mungu.
Waweza subiri, ila kuoa siyo lazima, take your time, jiimarishe kiuchumi, zidi kukomaa kiakili, usiendekeze ku trust mwanamke, nenda na flow.Hiyo tayari kasha olewa kitambo,,pengine huyu wa chuo bado na Hadi aje amalize shule huko eti nimemsubiri tu?
😆 Kwamba kuokota makopo kisa stress zimezidi!Waweza subiri, ila kuoa siyo lazima, take your time, jiimarishe kiuchumi, zidi kukomaa kiakili, usiendekeze ku trust mwanamke, nenda na flow.
Ila kuoa ni stressful na kutakuletea UMASKINI tu...
Jiandae kisaikolijia na kimaisha kwanza ili hata ukimpata mwenza na akaku disappoint usije kuokota makopo mtaani!
SikupingiKuoa ni kuchoka KUISHI kwa amani.