Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

Walokole wengi wana changamoto ya afya ya akili.
 
Kijana miaka 31 unastress za kuoa ,je ukioa ndio utapata stress mara 1000 yake ,shauri yako, wa nje ni nje na wa ndani ni ndani
 
Wengine tumevuka hiyo miaka na atujaoa ..wala hatuna stress yoyote ...kwani huko kanisan8 huyo wanaye mwita Bwana yesu alioa?
 
Mimi ni mwanaume aliyekaza tena mwenye Future
Kaza sasa mzee, sasa mtu uliyemuacha akaolewa, bado unamuongelea wa nini. Hata akiachika huko unqtaka umuoe tena? Mwanaume imara anafunga huo ukurasa anafungua ukurasa mpya maisha yanaendelea. Tafuta mwanamke mwingine, acha kutia huruma, mwanaume haonewei huruma mzee
 
Apostle kuna Muujiza huku.

Nini kimetokea? Alikuwa anagonga Tumbo sasa ametapika Mikasi
 
Kwanza pole, alafu hapo juu kwenye tittle kuna typing error, ningeomba ibadilishwe, moja ya vitu ambavyo hua tunashauriwa kabla ya kuoa ni kujitahidi kuoa mwanamke sahihi, na ndio mana wanasema, "kosea kote ila usikosee kuoa" maana yake uoe mwanamke ambaye atatengeneza amani kwako. Pia kwenye swala la maendeleo yako... Mana umesema "hela napata ila unashindwa kufanya kitu cha msingi" kwanza tuliza kichwa na fanya ibada ili mungu akupe muongozo mzuri kwa maendeleo yako. Na kinacho kupa stress wewe nimaneno ya watu na umri ambapo vyote vinakwambia "niwakati wako kuoa", na mambo ya mahusiano au uchumba husaidia mtu kuchagua na kumjua anae mfaa kwa nyanja zote, ambapo kwako inakua rahisi kwenda nae sambamba katika majambo yako. Pia "malengo" ni kitu kizuri kwahiyo kama huyo mwenye miaka 4 ya kutimiza ndoto zake, unauwezo wa kumngojea wewe mngojee tu.
 
Inaonekana wanawake ndo wanakutongoza, kwanini wewe hutongozi?
 
Wewe ni hela huna, mke wa kuoa hakosekani. Sikiliza financial balance usiangalie una umri gani. Utaoa hata 50 yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…