Vifaranga200
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 163
- 177
Nilikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Magufuli alifanya wazembe wote wakaa pembeni. Wahuni mtatuua
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa pembeni. Imeniuma sana.
Kwa sasa nakula bia sana na wanawake wengi ni bar medi na wanaojipitisha. Kwa sasa naona kabisa nina UTI sugu na sina amani.
Naomba ushauri siyo matusi.