Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Kumbe watu mnawapitia sana Ma-Bar maid??? Hatari sana....Daah naelewa unayopitia. ilishawahi kunipata hii miaka fulani niliacha kazi nikawa sina direction yoyote, asee nilikua mtu wa bar tu na ma barmaid, nililoose direction totally mpaka akiba yangu ilipoisha nikaanza kuingia na mikopo asee sitaki kukumbuka. ila Mungu si athumani niko level now ule mwaka ndio nautumia kama password zangu yaani ntaanzaje kuusahau!