Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Umejieleza usitukanwe?Okay!Basi nikueleze weye ni kenge-bluu!Umeshushwa cheo,sawa.Kwani na mshahara wameupunguza?Vyeo na vifananavyo umevikuta na utaviacha.Sasa ukiwa mlevi na malaya ndiyo utapanda cheo?Kuwa na moyo mgumu.Jikubali.Yawezekana umeepushwa kifungo,kifo au aibu kwenye jamii.Tulia na uache uwendawazimu.Nakueleza kwa uzoefu wangu.Nikikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Haikuwa rasmi kwamba nimepanda cheo, ila kwa utendaji kazi, team work na imani kwamba naanza kutoka kimaisha.
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa pembeni. Imeniuma sana.
Kwa sasa nakula bia sana na wanawake wengi ni bar medi na wanaojipitisha. Kwa sasa naona kabisa nina UTI sugu na sina amani.
Naomba ushauri siyo matusi.