Vifaranga200
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 163
- 177
Mkuu jiue tu commit suicide it will help you foreverNikikopa Benki 20 mil nineimaliza na mademu na pombe.
Msinitukane nihurunieni.
Chanzo Cha haya mambo ni kushushwa cheo. Haikuwa rasmi kwamba nimepanda cheo ila Kwa utendaji kazi, team work na Imani kwamba naanza kutoka kimaisha. Ghafla Baad ya kuingia mama Samia, akapangua pangua.
Bahat mby tukaathirka kwenye eneo langu na nikawekwa pembeni. Imeniuma sana.
Kwa Sasa nakula bia Sanaa na wanawake wengi ni bar medi na wanaojipitisha
Kwa Sasa naona kabisa nina UTI sugu na Sina amani.
Naomba ushauri sio matusi
Hizi series mnazoangaliaga siku hizi Kwa shemeji zenu zimewaharibu sana. Mbongo na vacation wapi na wapi?Mambo mengi yanapogoma jarbu kubadili mfumo wa maisha quickly iwezekanavyo kwanza badili mazingira tafuta vacation sehemu huko mbalii kidogo then hakikisha
Rudi na ufanye ibada kulingana na dini yako.
Kwani haiwezekani?? KwakeHizi series mnazoangaliaga siku hizi Kwa shemeji zenu zimewaharibu sana. Mbongo na vacation wapi na wapi?
Yaani unataka nipeleke hela Chachi. NowayMpokee Yesu kua Bwana na mwokozi wa maisha yako, atautua mzigo wake ukiweka tumaini kwake
Pole sana kwa haya unayopitia je una familia? Mke? Watoto? Chochote utakachofanya wakumbuke hao kwanza!Nikikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Haikuwa rasmi kwamba nimepanda cheo, ila kwa utendaji kazi, team work na imani kwamba naanza kutoka kimaisha.
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa pembeni. Imeniuma sana.
Kwa sasa nakula bia sana na wanawake wengi ni bar medi na wanaojipitisha. Kwa sasa naona kabisa nina UTI sugu na sina amani.
Naomba ushauri siyo matusi.
kitu kizuri umetambua hali uliyonayo na chanzo unakijua. ulitarajia pakubwa hujapata hivyoo puguzaa tamaa mbaya, Mungu humjaribu mtu kabla ya kumpa kupima uvumilivu, hatakama hiyo nafasi ipo kwa baadae umeanz kuitia doa maana umeonyesha picha mbaya kwa wenzio sasa. subira ni kila kitu kwenye maisha. nenda hospitali ukapima ili ujihakikisshie afya na upange namna ya kuitunza, Afya ni mtaji no moja, hivyo utajithamini zaidi ukijua afya yako, mbili tambua baa hakuna mwanamke salamaa hivyo pesa uliyo baki fanyia kiyu uutakacho kuwa unakiona kama kuunua aridhii nje ya mji kama aset ya baadae. achana na marafiki uongo na tafuta rafiki akusogeze karibu na ibaada yaani MunguNikikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Haikuwa rasmi kwamba nimepanda cheo, ila kwa utendaji kazi, team work na imani kwamba naanza kutoka kimaisha.
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa pembeni. Imeniuma sana.
Kwa sasa nakula bia sana na wanawake wengi ni bar medi na wanaojipitisha. Kwa sasa naona kabisa nina UTI sugu na sina amani.
Naomba ushauri siyo matusi.