Daah naelewa unayopitia. ilishawahi kunipata hii miaka fulani niliacha kazi nikawa sina direction yoyote, asee nilikua mtu wa bar tu na ma barmaid, nililoose direction totally mpaka akiba yangu ilipoisha nikaanza kuingia na mikopo asee sitaki kukumbuka. ila Mungu si athumani niko level now ule mwaka ndio nautumia kama password zangu yaani ntaanzaje kuusahau!