Nina swali Hapa jamiiforums, Hivi kwanini mtu akidanganya au akisema kitu kinachoashiria uongo mnasema CHAI ?

1. Chai (uongo) asili yake ni nini ?
2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ?
3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ?

NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani sijui inaitwaje na haujawa attached kwenye kitu chochote.

Ahsante.
Ninachokijua ni kwamba waswahili wana msemo wao:Muongo mpe chai ya bakuli kubwa la bati(asimalize haraka na aungue kwa mahangaiko)apate kusema yote.
 
1. Chai (uongo) asili yake ni nini ?
2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ?
3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ?

NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani sijui inaitwaje na haujawa attached kwenye kitu chochote.

Ahsante.
Screenshot_20240915_192601_Google.jpg
 
Back
Top Bottom