Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

😃😃duh, hivi nani aliwadanganya walokole hawajui kitu??

Btw, kwani walokole hawatakiwi kufurahia?? Hahaa
Ni wanadamu km wengine they deserve the best pia..
Mapenzi ni mapenzi tu hayana mlokole wala nn...

Ukinitoa mimi😀
Sikuhizi wanafundishwa pia.. kutunza mahusiano yao...
Sa hiyo blowjb nayo ajabu kwani...mbona kawaida tu...😃😃😃
Ni vile sikuhiz mambo mengi , magonjwa etc...sio issue
Mimi mbona sijui jamani, walokole sisi bado sana🌝
 
Yarabi! as in big spoon and small spoon!?

If yes.. then i am always a small spoon.. kwenye kucuddle huwa nakuwa big spoon sometimes.. japo huwa sitoshei.. if you know you know! 🤣🤦🏻‍
Quote un quote, I thought mlikuwa mna zungumzia spoon za kulia msosi.

so I was looking in ma kitchen, ili niwa show the kind of spoon I got ohh lord
 
Back
Top Bottom