G
guest-1790917349
Guest
Huu uzi sikutaka kabisa kuingia...
Kwaherini😆🏃🏃😎
Kwaherini😆🏃🏃😎
Usiwaze wala nn!kukusalimu dada yangu
Sina 30 nimevuka kitambo hapo😝😃😃😃
Km una 30 we ni mdogo angu
Hebu rudi bado hujatupa style pendwa🤣Huu uzi sikutaka kabisa kuingia...
Kwaherini😆🏃🏃😎
Goodmmmh ngoja nisubili ndoa tu
😎🏃😷no commentSina 30 nimevuka kitambo hapo😝
Nini tena jmn😆😎Hebu rudi bado hujatupa style pendwa🤣
😷😷😷🏃🏃Bebii chukua yoteee
Oohh pappiii😜
Utupe mrejesho mamaake😁Nini tena jmn😆😎
Khaaaa niwacheee mie
Walokole hatuna baya😎😷😷😷🏃🏃
Unatuhamasisha we mwanamke, acha kabisa!!😃😃duh, hivi nani aliwadanganya walokole hawajui kitu??
Btw, kwani walokole hawatakiwi kufurahia?? Hahaa
Ni wanadamu km wengine they deserve the best pia..
Mapenzi ni mapenzi tu hayana mlokole wala nn...
Ukinitoa mimi😀
Sikuhizi wanafundishwa pia.. kutunza mahusiano yao...
Sa hiyo blowjb nayo ajabu kwani...mbona kawaida tu...😃😃😃
Ni vile sikuhiz mambo mengi , magonjwa etc...sio issue
Nipo njianiUsiwaze wala nn!
Njoo nikufundishe!!Mimi mbona sijui jamani, walokole sisi bado sana🌝
NoUnatuhamasisha we mwanamke, acha kabisa!!
UpiiiUtupe mrejesho mamaake😁
Sitaki😁Njoo nikufundishe!!
Bwana eeh kashajibiwa huko atajua mwenyewe we nijibu swali langu nataka kujifunza kitu😁Upiii
Hivi tumej8bu swali la mtoa mada au tunetoka nje ta mada😆😆😆😆
Tena millenia wa 80s, nyie wa 90s bado speed yenu ni kubwa, sitaiweza!!No
Naongea ukweli
Sihamasishi😎...
Mzee tulia na millenia achana na gen z watakuua😆😆😆
win-one sijakuonaWalokole hatuna baya😎