Nina tabia ya kupenda kucheka sana. Je, ni tatizo?

Fanya mpango uoe hutacheka cheka hovyo tena.
Wanawake wanapenda wanaume wacheshi lakini sio wanaocheka cheka.
 
Cheka sana kwa afya yako, kila inapowezekana, nafikiri ni vizuri zaidi! Japo mimi siyo mtaalam lakini! 😄
 
Kama ni mwanaume acha mara moja.
 
Chaka mama hiyo ni tiba safi sana!
 
Kama mie tu,tunafanana[emoji3]

Tusiozoeana wananiona ni mpole,,,kumbe[emoji23]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…