Nina tabia ya kupenda kucheka sana. Je, ni tatizo?

Cheka sana kwa afya yako, kila inapowezekana, nafikiri ni vizuri zaidi! Japo mimi siyo mtaalam lakini! 😄
 
Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.

Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni mcheshi au muongeaji kiasi kwamba hadi mtu akinikuta ambaye hajanizoea huishia kusema "kumbe anaongeaga hivi? Kumbe anachekaga huyu"..

Ila kwa watu tuliozoeana basi tutataniana nitacheka sana yaani nitacheka sana hadi sazingine nitacheka hadi nitakaa chini kama ni jambo la kuchekesha sana.

Jee hili ni tatizo?Jee haina tafsiri au mtazamo mbaya?Nataka nijuwe ili niache maramoja kama sio jambo zuri.
Kama ni mwanaume acha mara moja.
 
Chaka mama hiyo ni tiba safi sana!
 
Kama mie tu,tunafanana[emoji3]

Tusiozoeana wananiona ni mpole,,,kumbe[emoji23]

Back
Top Bottom