Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute Na nyeg pia
Sikulifikiria hilo, inawezekana...Ukute Na nyeg pia
We endelea kucheka adi kuanguka chini na kugongeana mikono na mashost zako.Mawazo ya kipuuzi hayo mkuu kumbe mtu akicheka ni ushoga na akilia pia ni ushoga?
Unaandikia gundi au ?mwakampyamambomapya
kitombile umemaliza😂😂😂Kama bado una marinda basi yatakuwa yapo njia panda.
Weka vituomwakampyamambomapya
Huu ni uungwana Kitombile?Kama bado una marinda basi yatakuwa yapo njia panda.
Huu mtego kabisa mkuu [emoji3] [emoji3]Nikija kupata mwanamke mcheshi hivyo sikuachi lazima niweke ndani niwe nafurahi kwa kweli.
Kama ni mwanaume acha mara moja.Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.
Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni mcheshi au muongeaji kiasi kwamba hadi mtu akinikuta ambaye hajanizoea huishia kusema "kumbe anaongeaga hivi? Kumbe anachekaga huyu"..
Ila kwa watu tuliozoeana basi tutataniana nitacheka sana yaani nitacheka sana hadi sazingine nitacheka hadi nitakaa chini kama ni jambo la kuchekesha sana.
Jee hili ni tatizo?Jee haina tafsiri au mtazamo mbaya?Nataka nijuwe ili niache maramoja kama sio jambo zuri.
Chaka mama hiyo ni tiba safi sana!Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.
Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni mcheshi au muongeaji kiasi kwamba hadi mtu akinikuta ambaye hajanizoea huishia kusema "kumbe anaongeaga hivi? Kumbe anachekaga huyu"..
Ila kwa watu tuliozoeana basi tutataniana nitacheka sana yaani nitacheka sana hadi sazingine nitacheka hadi nitakaa chini kama ni jambo la kuchekesha sana.
Jee hili ni tatizo?Jee haina tafsiri au mtazamo mbaya?Nataka nijuwe ili niache maramoja kama sio jambo zuri.
Kama mie tu,tunafanana[emoji3]Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.
Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni mcheshi au muongeaji kiasi kwamba hadi mtu akinikuta ambaye hajanizoea huishia kusema "kumbe anaongeaga hivi? Kumbe anachekaga huyu"..
Ila kwa watu tuliozoeana basi tutataniana nitacheka sana yaani nitacheka sana hadi sazingine nitacheka hadi nitakaa chini kama ni jambo la kuchekesha sana.
Jee hili ni tatizo?Jee haina tafsiri au mtazamo mbaya?Nataka nijuwe ili niache maramoja kama sio jambo zuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee mie nikiwa na mastress home wanajua,maana nakuwa kimya.Sio shidaaa
Mimi nacheka, naongea. Siku nikiwa kimya naulizwa una matatizo gani maana sio kawaida.
Tuendelee kucheka tu [emoji1635]