Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

Mawazo yalienda sehemu nyingine kbsa ...dah ngoja nikatubu tu 😝😝😝
 
(Mwanamke pia napenda Awe mkuubwa halafu mweusi.)
Hapo juu tupo wote
 
Hauna tatizo hapo cha msingi ni kuanza kubadirika tu πŸ™Œ kama unapenda sana nyeusi anza kupenda na rangi nyingine ukianza na nyekundu then nyeupe
 
Kwenye rangi hakuna shida ila kuvaa manguo makubwa ndo kwenye shida hapo 😝
 
Basi tatizo unalijua mkuu
Unasema nalijua kwa sababu nimeuliza juu ya kurogwa mkuu?
Nimeuliza kwa mshangao tu maana hii hali nimekuwa nayo tangu nikiwa mdogo kama nilivyo andika hapo juu.

Kuna wawili sijuwi wamesema inaweza kuwa ni stress, siwapingi ila pia ninayo haki ya kuwailiza, kama hizo stress nilikuwa nazo tangu nikiwa dogo.
 
Ili mtu ujue anaumwa, lazima anyeshe dalili...

Ukirogwa; unakuwa umefunikwa. Yaani upo gizani.
Watu wabaya wanakuchezea watakavyo.

Fanya ibada utakasike.. bila shaka kuna mambo yako ya msingi yanachamoto.

Sasa wewe ona sifa kwa kujiona Mniga wa Kimarekani huku nafsi yako ikiwa mashakani.
 
Kwenye rangi hakuna shida ila kuvaa manguo makubwa ndo kwenye shida hapo 😝
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haimaanishi navaa muda wote mavazi ya aina hiyo, pia haimaanishi sivai mavazi ya rangi nyingine kama walivo tafsiri watu wengine hapo juu.

Ila napenda sana, na nikivaa hivyo najiona ndiyo nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…