Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #61
Nyiee.. njooni muone Satan Huku anahubiri. (Jokes)Ili mtu ujue anaumwa, lazima anyeshe dalili...
Ukirogwa; unakuwa umefunikwa. Yaani upo gizani.
Watu wabaya wanakuchezea watakavyo.
Fanya ibada utakasike.. bila shaka kuna mambo yako ya msingi yanachamoto.
Sasa wewe ona sifa kwa kujiona Mniga wa Kimarekani huku nafsi yako ikiwa mashakani.
Mkuu hakuna mahali nimeandika naona sifa, pia hakuna mahali nimeandika najiona mniga wa marekani.
Mchango wako wala hauna tatizo kulingana na unachokianimi, ila umeubebesha mzigo hewa.