Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

Nyiee.. njooni muone Satan Huku anahubiri. (Jokes)

Mkuu hakuna mahali nimeandika naona sifa, pia hakuna mahali nimeandika najiona mniga wa marekani.

Mchango wako wala hauna tatizo kulingana na unachokianimi, ila umeubebesha mzigo hewa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haimaanishi navaa muda wote mavazi ya aina hiyo, pia haimaanishi sivai mavazi ya rangi nyingine kama walivo tafsiri watu wengine hapo juu.

Ila napenda sana, na nikivaa hivyo najiona ndiyo nimemaliza.
Hapo Nimekuelewa πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…