Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Sasa kama unataka kuwa peke yako, mbona umeposti huu uzi hapa...Ungekaaa kimya tu peke yako upambane na hali yako!! We si hutaki kujichanganya na watu kabisa.....

Wabongo bhana au ni tatizo la mtu amekwambia umpostie ili ukamshauri?
 
Hilo tatizo mimi ninalo pia, kuna wakati hata mpenzi akija akakaa muda mrefu nakereka natamani aondoke, na ndo kama anakuja kila siku basi ndo tiketi ya kuachana...sipendi sherehe sijui vikao wala mikusanyiko ya namna yeyote, hata nikienda bar basi nitakaa mwenyewe! Habari za kwenda sijui club mara beach basi itokee mtu tu anaconvince!!
 
MIMI PIA NILIKUA NA TABIA KAMA HIYO ILINIATHIRI KWA MUDA MREFU HAD IVI SASA NAJIKUTA NIKIKAA IWE PEKE YANGU AU HT KWENYE UMATI NAJIKUTA NAZUNGUMZA PEKE YANGU HAD NAJUTA.. NILIACHA HAD MASOMO JAPO NOW NIMERUD SCHOOL BT KILA MTU ANANIONA WA AJABU.. NKO TOFAUT SANA NA NAIS na ukicheki mimi ni bado janki sana, NIMEKWAA NA MATATIZO AMBAYO SIJUI KM NTAKUJ PONA...... nakushaur uondokane na jambo hlo kw namn yoyote km linaathir uwezo wako wa kiutendaj
Kwa hiyo ulivyokua unakaa peke yako, ulikua unajiongelea mwenyewe?
 
Mimi ninatatizo hilohilo ,kujichanganya kwa watu ,iwe mtaani sipendagi ,kuongea na wanawake ndo sipendagi kabsa ila kw sasa nimeanza kujichanganya kwa watu
 
aisee wakuu hata mimi niko hivo hivo sa mimi tatizo kubwa limekuwa kutopata hamu ya kupiga simu kwa watu na ndugu zangu mpaka niwe na shida nao na mara nyingi wananilaumu kuwa siwapigii simu, muda mwingi niko nyumbani nahisi kama ninatatizo; aisee wakuu tusaidieni.
MKUU HILO NI TATIZO LA WATU WENGI NA HUWA BAYA PALE UNAPO HISI KUWA UWAPO PEKEYAKO,KUTOKUPIGA SIMU NA KUTO WASIILIANA NDIO TABIA YAKO HALISI KUMBE HAPANA NI TATIZO. TAFUTA MSAIKOLOJIA NA UKIMKOSA NITAFUTE TAKUSAIDIA NA UKIMPATA USIKUBALI KUANZA KUTUMIA DAWA KABLA YA KUKUPATIA TIBA YA MANENO NA VITENDO.
 
Sometimes ts good to be alone n think properly and js mind ur business, magroup kila saa yanachosha binafsi they drain energy out of me,
From time to time napendaga js a simple schedule work home church alone nk...
 
Mimi ni genius kiasi. Nimefaulu sana masomo ya sekondari, nina first class degree kwenye bachelor yangu ya kwanza, kwasasa nasoma masters na semesters zangu zinang'aa vizuri
You're depressed....
 
Back
Top Bottom