Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Mkuu huwa sipigi puchu. Nina mademu lukuki mpka majirani zangu niliopanga nao hatuelewani. Lakini sitaki demu akae kwangu kabisa. Nataka akija asepe fasta baada ya sex.
Kumbe kwenye uzinzi upo loooh Mrudie Mungu
 
Utakuwa umezaliwa kati ya
April 20 - tar 20 May
Mkuu naomba ufafanuzi kwenye hizo tareh hapo ina udhibitisho wa kisayansi? Maana mimi pia nimezaliwa between tareh za hapo alafu ninatabia za hivyo...je ni kweli watu waliozaliwa hizo tareh wapo hivyo??
 
Alama ya Ng'ombe the provider
 
Hahahaha ama kweli!
Jina langu baya ila mahaba matamu na pia ulimi wangu hauna kipele hivyo unateleza mshazari na hauumizi Kama madini ya galibosi.... Au nikuimbie wimbo isis unielewe....ungekuwa Karibu ningejing'ata kucha... Basi ndio am waiting in vain for your love Isis
 
Walahi wewe kiboko, hahahaha
 
Walahi wewe kiboko, hahahaha
Walai ISIS nimekuja kwako twice nabisha mlango umefungwa na ndani papo kimya Bado nipo sijatoka nime gandamiza kifua mlangoni kwako PM usikie midundo ya moyo inavyolia.. Tafadhari nifungulie PM peke yangu... Nimekuletea zawadi ya Ua
 
Mm mwenyew niko hvyo kwa mda mrefu tu karbia miaka 3 xaxa lakn nlikuwa cjui kama ni tatzo Leo ndommenifungua akili xaxa cjui hata ni nn maana hata mtu akinipgia cm nakacrika ctaman kupokea nakuwaga na madk meng yanaishia hewan kumpgia mtu nashndwa yani naona kama kero duh
 
MIMI PIA NILIKUA NA TABIA KAMA HIYO ILINIATHIRI KWA MUDA MREFU HAD IVI SASA NAJIKUTA NIKIKAA IWE PEKE YANGU AU HT KWENYE UMATI NAJIKUTA NAZUNGUMZA PEKE YANGU HAD NAJUTA.. NILIACHA HAD MASOMO JAPO NOW NIMERUD SCHOOL BT KILA MTU ANANIONA WA AJABU.. NKO TOFAUT SANA NA NAIS na ukicheki mimi ni bado janki sana, NIMEKWAA NA MATATIZO AMBAYO SIJUI KM NTAKUJ PONA...... nakushaur uondokane na jambo hlo kw namn yoyote km linaathir uwezo wako wa kiutendaj
 
Back
Top Bottom