Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Yani katika wotee mliosema mnapenda kuwa wenyewe tu,hampendi kuongea na watu,mnajifungia ndani sijui mnaona kero kuongea n.k n.k nimeuliza mna watoto au ndoa naona hamna aliye nijibu.
Nimegundua wengi hamna ndoa mpo katika stage za mahusiano ya kawaida tu,wala hamjabahatika kuwa na watoto na kama mnao hamjaweka wazi wala hamna connection ya kihisia yeyote na watoto wenu au mtoto wenu.Believe me hata ukiwa INTROVERT kiasi gani ukiwa na emotional connection au na upendo kwa mwanao...unabadilika kabisa hutopenda eti kuwa mbali naye,kumkwepa wala kumkalia kimya so nafikiri hii tabia wengi mtaiacha mkijaaliwa watoto au mwenza wa ndoa unayempenda kwa dhati.
Wengi mmejisample kama 'ma-jinias' ila sio kwamba kweli mna ujiniasi wowote ila mpo deceptional na kuwa nyie ni high performers tu hata level ya u-genious hamjafikia acheni masihara jamani na hilo neno genious!Kuwa intellectually bright sio kwamba wewe ni genious kwanza katika sample la darasa lolote lazima kuwa na high performers hata katika darasa la watu wenye akili ndogo sana.
All in all nyie ni hiyo ni tabia ya kawaida tu katika stage fulani za maisha na huwa dominant mtu unapokuwa wenyewe.Ila wengine mmezidi uantisocial mpaka mmekaribia kuwa na roho mbaya!