Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Huo ni ugonjwa mbaya sana, bora kama ujijua.Jitahidi kujichanganya na watu, ingia mada zilizopo mezani keep talking and talking. Ukiendelea hivyo unaweza kuwa chizi
 
Binafsi mwenyewe napenda kuwa alone, sipendi marafiki hasa wa kiume, hata mpira napenda kuangalia mwenyewe kwa maana nina dstv, interaction nayo fanya ni hii ya social network. Sina best friend wala close friend wala sitamani kuwa nao. Sioni tatizo bse na enjoy hivi nilivyo, nikiwa alone zaidi napenda kucheck mpira, movie, na kupanga jinsi ya kupunguza matumizi.
 
Asante kaka mshana jr. Ushauri kuna post yako nimewahi kusoma nahisi inaongelea sana hizi stages. Niko kwenye my late 20s. Nakaribia 30 yrs. Asante mkuu. Naomba hii hali ipite.
Yeah lakini usibweteke jishape kipindi hiki
 
Kama uko happy then sio tatizo, ukijilazimisha kuwa kama wengine ndio utapata matatizo, jaribu tuu kufanya watu wanaokuzunguka wakuelewe ili wasikujudge au kukupush kuwa mtu ambae nafsi yako haitaki.
Nimekuwa hivyo tangu nikiwa mtoto, nina rafiki wa karibu mmoja tangu primary na sioni tatizo
 
Mwenye kujua dalili za autism please... nahisi huyo atakuwa nayo labda tuki mhoji mno kuhusu social feelings tutapata majibu..
 
sio ww tu.......mimi toka utotoni nilikua napenda kua alone
mama alikua ananifukuza sana ndani nikacheze nje na wenzangu.....
hali ikawa hivyo O'level na Advance ...hats kufanya discussion na wenzangu nlikua sipendi .... mpaka nkawa naambiwa napenda kujitenga sababu najua..... Chuo nlikua nashinda sana hostel baada ya pindi....at least ....nlikua na friend angu alishanisoma nikoje.
relationship zangu ikidumu sana miezi mitatu na ugomvi mkubwa ilikua spendi ongea na simu na texting pia spend...... maranyingi nnachofanya 4 fun ni kuangalia
movie, mpira na music kuskiliza ....
Nahisi hili nitatizo kubwa kwa watu wengi.......mwenye ufumbuzi na mawazo yakusaidia afanye ivyo.
Thax
Mkuu hauko peke yako. Mambo mengi uliyoyasema hapo ndio mimi pia nafanya. Sijawahi kuvunja mahusiano yangu na wapenzi wangu wa zamani kwa sababu zingine zaidi ya poor communication. Mimi napenda kuwa kwangu naangalia movie, najisomea, nasikiliza muziki, nacheza game au naperuzi mtandaoni lakini isiwe kuchat na mtu. Mpenzi wangu akija natamani awahi kuondoka. Kama tukibahatika kufanya mapenzi ndio natamani aondoke muda huo huo. Namchukia ghafla natamani asepe tu. Hili ni tatizo kubwa kwa watu wengi sana hapa nchini sema hawajaamua kushare nasisi. Thanks
 
Kwani kupenda sana kuwa peke yako ni tatizo?

Kwanini unafikiri ni tatizo, limekucost nini?

Mara nyingine ni vizuri kuwa peke yako kuliko kuwa karibu na binadamu wanafiki.
Sikuwa hivi mwanzo ndiomana nimekuwa surprized.
 
acha puchu kwanza alafu njoo upate ushauro mkuu
Mkuu huwa sipigi puchu. Nina mademu lukuki mpka majirani zangu niliopanga nao hatuelewani. Lakini sitaki demu akae kwangu kabisa. Nataka akija asepe fasta baada ya sex.
 
Hata mimi nina hiyo tabia na nliianza tangia nasoma Secondary, na naipenda sana cause "ITS FUN" inanifanya niwe huru na nisizoeane sana na watu.! Trust me kuzoeana na watu kuna cost sana.! Piga story mara chache sana na watu, binadamu hawana hiyana... but nipo close na JF ndo watu wangu wa karibu[emoji110]
468fb655f00b4fb8dff770b2fa05c235.jpg
Sawa mkuu nimekupata
 
Mwenye kujua dalili za autism please... nahisi huyo atakuwa nayo labda tuki mhoji mno kuhusu social feelings tutapata majibu..
Nitajaribu kusoma kuhusu autism mkuu. Thanks
 
Hata mimi nina hiyo tabia na nliianza tangia nasoma Secondary, na naipenda sana cause "ITS FUN" inanifanya niwe huru na nisizoeane sana na watu.! Trust me kuzoeana na watu kuna cost sana.! Piga story mara chache sana na watu, binadamu hawana hiyana... but nipo close na JF ndo watu wangu wa karibu[emoji110]
468fb655f00b4fb8dff770b2fa05c235.jpg
Ila wengi wenye matatizo kama haya huwa hatunenepi
 
Back
Top Bottom