Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah lakini usibweteke jishape kipindi hikiAsante kaka mshana jr. Ushauri kuna post yako nimewahi kusoma nahisi inaongelea sana hizi stages. Niko kwenye my late 20s. Nakaribia 30 yrs. Asante mkuu. Naomba hii hali ipite.
Kuna stages katika makuzi, ipo topic nimechambua kwa undani takutagSamahani mkuu, naomba ufafanuzi. Nahisi una hoja ya msingi sana hapo hasa ukizingatia unafahamu sana metaphysics!
Wow! This might be helpful. Thanksuñatatizo la kuwa 'apathy' na ili upone na kuwa 'empathy'...
zingatia 'dini' yako,kama unayo! au hudhuria michezo kadri iwezekanavyo;
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mkuu hauko peke yako. Mambo mengi uliyoyasema hapo ndio mimi pia nafanya. Sijawahi kuvunja mahusiano yangu na wapenzi wangu wa zamani kwa sababu zingine zaidi ya poor communication. Mimi napenda kuwa kwangu naangalia movie, najisomea, nasikiliza muziki, nacheza game au naperuzi mtandaoni lakini isiwe kuchat na mtu. Mpenzi wangu akija natamani awahi kuondoka. Kama tukibahatika kufanya mapenzi ndio natamani aondoke muda huo huo. Namchukia ghafla natamani asepe tu. Hili ni tatizo kubwa kwa watu wengi sana hapa nchini sema hawajaamua kushare nasisi. Thankssio ww tu.......mimi toka utotoni nilikua napenda kua alone
mama alikua ananifukuza sana ndani nikacheze nje na wenzangu.....
hali ikawa hivyo O'level na Advance ...hats kufanya discussion na wenzangu nlikua sipendi .... mpaka nkawa naambiwa napenda kujitenga sababu najua..... Chuo nlikua nashinda sana hostel baada ya pindi....at least ....nlikua na friend angu alishanisoma nikoje.
relationship zangu ikidumu sana miezi mitatu na ugomvi mkubwa ilikua spendi ongea na simu na texting pia spend...... maranyingi nnachofanya 4 fun ni kuangalia
movie, mpira na music kuskiliza ....
Nahisi hili nitatizo kubwa kwa watu wengi.......mwenye ufumbuzi na mawazo yakusaidia afanye ivyo.
Thax
Sawa mkuu nimekupataHata mimi nina hiyo tabia na nliianza tangia nasoma Secondary, na naipenda sana cause "ITS FUN" inanifanya niwe huru na nisizoeane sana na watu.! Trust me kuzoeana na watu kuna cost sana.! Piga story mara chache sana na watu, binadamu hawana hiyana... but nipo close na JF ndo watu wangu wa karibu[emoji110]![]()
Nitajaribu kusoma kuhusu autism mkuu. Thanks
Ila wengi wenye matatizo kama haya huwa hatunenepiHata mimi nina hiyo tabia na nliianza tangia nasoma Secondary, na naipenda sana cause "ITS FUN" inanifanya niwe huru na nisizoeane sana na watu.! Trust me kuzoeana na watu kuna cost sana.! Piga story mara chache sana na watu, binadamu hawana hiyana... but nipo close na JF ndo watu wangu wa karibu[emoji110]![]()