Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu.Hapo kuna mengi umechukua mengi mazuri, umejitambua na kuamua kujireshape for the better of yourself, vizuri sana
Jitahidi uwe na marafiki wachache positive ones
Kuhusu libido ni kwa vile umri unaruhudu unakula vizuri na huna stress nyingi hivyo it's natural
Habari zenu wanabodi.
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa napenda sana kuwa peke yangu. Iwe kazini, shuleni (nasoma chuo), kwenye sherehe, nyumbani au sehem yoyote ile. Hata nikiwa na mgeni home kwangu natamani aondoke.
Haijalishi nigeni wa kiume au wa kike. All i need is to be alone and make my own reflection of this life. Nimekuwa out of touch kwenye communication na mpenzi wangu na amekuwa mtu wa kulalamika tu. Ndugu zangu na wanafamilia wangu ndio kabisaaa mpka wanitafute wenyewe.
Nimekuwa mvivu wa kuongea kwenye simu. Mtu akinipigia nataka aongee shida yake chap chap na akate simu.
Je hili ni tatizo gani wakuu? Msaada please.
Have been reading articles about introvert and extrovert but what happens to me is very strange. Back in the days sikuwa hivi kabisa. I was a man of people. I was a baller and I hanged out with friends and family members. Am still looking for answers. Hiki kinachonitokea ni nini?Congrats for being an INTROVERT..
Hilo sio tatizo unless limesababishwa na kitu kama family problems au loneliness..
Kuwa introvert sio kuwa lonely.. ni kupenda kuwa alone.. and you enjoy it so much unaishia kuchukia social gatherings..
Welcome to the group guys..
Thank you mkuu. Nimekupata sanaEverybody in lifetime once in a while needs to be alone. Hua na enjoy sana sometimes kua alone, me, myself and I. Na pale napohitaji company of some people hua sisiti kuwatafuta.. Wasipopatikana basi simu inahusika charting, talking, etc au sometimes kujitoa out mwenyewe. Na kuna wakati nikipata wageni na enjoy afu namis kua alone again.. Wakiondoka full kujiachia.. All in all loneliness feelings should be conquered..and so does depression.
Loooh!Hupendi hata ndugu?Mimi pia nilikuwa na marafiki wengi na ndugu, kila j2 au jmosi ilikuwa ni cookout nyumbani kwangu, lakini kama 5yrs ago ndiyo nikaanza kujitenga na kwa kweli nina amani kuliko enzi ya marafiki na mandugu, maana kulikuwa na unafik na uwivu wa kupindukia!
Nikudadavulie kidogo...
Upweke sio kutokua na watu waliokuzunguka bali ni kutokua karibu na wewe...
Huo sio ipweke ni hali yako inayokupa furaha maana..maana furaha jipe mwenyewe usisubiri kupewa sababu ukipewa utakua umefurahishwa na utakua hujafurahi...
Aisee...Sio ubinafsi hata kidogo. Na unajikuta tu ile kuanza kuongea na watu. Inakuwa shida..
Soma Biblia! Who's Cain and Abel..,Loooh!Hupendi hata ndugu?
Well saidCongrats for being an INTROVERT..
Hilo sio tatizo unless limesababishwa na kitu kama family problems au loneliness..
Kuwa introvert sio kuwa lonely.. ni kupenda kuwa alone.. and you enjoy it so much unaishia kuchukia social gatherings..
Welcome to the group guys..
Ok,nitajifunza kwao!Soma Biblia! Who's Cain and Abel..,
Yop ,kuna wenye bahati ndugu wanakuwa ni msaada mkubwa lakini kwa wengine ndugu wanakuwa kama ukoma, Yaani ni hatari!Ok,nitajifunza kwao!
Chembe ya moyo ikoje mkuu?Vidonda vya tumbo na hiyo chembe ya moyo ninayo. Nisaidie namna ya kuacha mkuu
Kuna uhusiano gani?Utakuwa umezaliwa kati ya
April 20 - tar 20 May
Depressive mood disorder so you can consult daktar wa magonjwa ya akili for helpHabari zenu wanabodi.