Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama nimeelewa hiviUtakuwa umezaliwa kati ya
April 20 - tar 20 May
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi pia Nina tatizo la kutaka kuwa peke angu mda Mwingi. Kwa mfano nimekutana na mtu ninayemfahamu njiani.na akataka kuongozana nami. Nipo tayari kumdanganya kuna sehemu napitia ili aondoke tu. Au rafiki yangu aniambie nakuja kwako nipo tayari kumwambia sipo. Ili tu nikae mwenyewe.mpaka najishangaaga
Ni kipindi katika makuzi kitapita, ila uamuzi utakaochukua sasa ndio utakuwa haiba yako
This is exactly me!!Mimi pia Nina tatizo la kutaka kuwa peke angu mda Mwingi. Kwa mfano nimekutana na mtu ninayemfahamu njiani.na akataka kuongozana nami. Nipo tayari kumdanganya kuna sehemu napitia ili aondoke tu. Au rafiki yangu aniambie nakuja kwako nipo tayari kumwambia sipo. Ili tu nikae mwenyewe.mpaka najishangaaga
Napenda wadada kama wewe... Boy friend Wa Kudo hadi mtake wenyewe njoo pm nikupe namba yangu ukihitaji naja fasterUkiwa mwenyewe unapenda kufanya nini? Maana pia mimi most of the time niko alone na nina enjoy, nitaangalia movies, nitasoma, nita swim na ku take a long walk on the beach on my own! Na nina furahia sana maisha, naamini usemi wa raha jipe mwenyewe. Kama una enjoy the company of me, myself and I that is totally gr8 my friend! Ubarikiwe sana
Pole.ila Mimi hii hali siipendi mnoAisee tupeane pole tu. Hili ndilo linalonikuta sasa
Mimi pia nilikuwa na marafiki wengi na ndugu, kila j2 au jmosi ilikuwa ni cookout nyumbani kwangu, lakini kama 5yrs ago ndiyo nikaanza kujitenga na kwa kweli nina amani kuliko enzi ya marafiki na mandugu, maana kulikuwa na unafik na uwivu wa kupindukia!Asante mkuu. Lakini nimekuwa nahisi kama ni tatizo. Najiuliza Hii hali imetoka wapi wakati zamani sikuwa hivi. Kama wewe unaenjoy basi hongera sana.
Duduwasha, hahahaha umenichekesha sana ndugu yangu!Napenda wadada kama wewe... Boy friend Wa Kudo hadi mtake wenyewe njoo pm nikupe namba yangu ukihitaji naja faster
Sio ubinafsi hata kidogo. Na unajikuta tu ile kuanza kuongea na watu. Inakuwa shida..Ni mbinafsi
PoleThis is exactly me!!
Kufaulu mitihani mnayotungiwa na makanjanja sio u-genius, Sir Newton alikuwa anafeli darasani lakini alikuwa genius kuliko mwalimu wake. Hizo ni dalili za stress tu.Mimi ni genius kiasi. Nimefaulu sana masomo ya sekondari, nina first class degree kwenye bachelor yangu ya kwanza, kwasasa nasoma masters na semesters zangu zinang'aa vizuri
Pole. Sana.na hii Mara nyingi ndio chanzoyaa ni tatizo mkuu mimi pia ninalo hilo ila linatokana na sababu mbalimbali kwa upande wangu mimi tatizo hilo Lillian mwaka 2003 hadi leo ndo nimekua adicted kabisa kikubwa kilichosababisha ni
kukosa upendo katika familia yangi haswa upande wa baba wakati kipindi hicho nipo secondari kidato cha pili ni wakati ambao nilikua nahtaji sapoti ya baba kimasomo kuanzia,pesa,hadi ushauri lakin hakujali nilkosa michango nikawa nashinda ndani tu shulr siendi akatokea mwalimu wangu mmoja wa msingi akanilipia michango nikaendelea na shule toka kipindi hicho niliumia moyo na sikujua maana ya upendo, niliajiriwa mwka2012-lakin kazin nilikua man alone na baada ya miaka miwili nikaenda chuo saiv nipo chuoni mwaka wa tatu ila sipendi mazoea na mtu kiviile nina mchumba ambae kiukweli siwezi kaaa nae zaid ya masaa matatu tutagombana akiaanza vijistory vyake vya ooo mara hivi kiukweli sina upendo tena hata furaha ya maisha sina, makuzi ya utoto yasipoenda viziri ni hatari sana. huko peke yako mkuu
Ukiitaji company tena nishtueEverybody in lifetime once in a while needs to be alone. Hua na enjoy sana sometimes kua alone, me, myself and I. Na pale napohitaji company of some people hua sisiti kuwatafuta.. Wasipopatikana basi simu inahusika charting, talking, etc au sometimes kujitoa out mwenyewe. Na kuna wakati nikipata wageni na enjoy afu namis kua alone again.. Wakiondoka full kujiachia.. All in all loneliness feelings should be conquered..and so does depression.