sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 970
- 1,638
Wewe huyo๐๐ kwenye ubora wakoIla sensor ziko sawa ukiona hivyo, wanaotupa tabu ni wale wenye vinu used pro max ๐๐๐ inabidi tugeuke waganga wa kutest mitishamba mbali mbali ili kuendana na kasi ya mlimbwende!
Maana unaweza shangaa una end trip af abiria bado anataka trip iendelee!