Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Observe the circumference of your anus mkuu..labda imeongezeka kias flan
Imeongezeka yenyewe tu??hiyo haiwezekani possibly kaingiliwa bila ridhaa yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha. Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani tweti four hours na hili tatizo lilianza tangu nije apa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.
Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakat hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao. Asanteni.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ndo nyie mnakula tikitiki maji huku mnakunywa pepsi
 
Kwahiyo ni swii au mbuu?

Nauliza unajamba kwa nguvu au upepo wa kimya kimya?
 
Punguza ulaji wa protini ya mimea kwa wingi kama vile dengu njegere maharage nk.
 
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha. Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani tweti four hours na hili tatizo lilianza tangu nije apa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.
Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakat hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao. Asanteni.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Duuuu pole sana. Naweza kujaribu kukusaidia
 
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha.

Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa upanga ni mwanaume nafanya kazi ya kusafisha nyumba na bustani pia.

Sihitaji kejeli naomba kwa Anaejua dawa yake maana inafika wakati hata kukaa na wenzangu naona aibu inakuwa kero kwao.

Asanteni.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Mkuu,hili tatizo ulipona?
 
Back
Top Bottom