Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.

Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.

1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.

Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
 
Kila kitu fanya kwa upendo mkuu, hata ukikosewa ukakwazika chukulia ni sehemu ya maisha kwa sababu hata wewe unakosea na kukwaza wengine pia.

Pia punguza kujali sana, huna mamlaka ya kila kinachotokea.
 
ni tatizo lakini huwapata watu wasiopenda kona kona, mfano mtu anasema nikopeshe af hata ni mia moja af atakulipa siku fulani, asipofanya hivyo inaku pain, si thaman ya hela ila ahadi alitoa.
 
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.

Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.

1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.

Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Hiyo ni Kuwa wewe ni mgonjwa wa Pressure! Tibu hiyo BP na tabia hiyo itakoma
 
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.

Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.

1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.

Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Kapime UKIMWI haraka

View: https://www.youtube.com/watch?v=wNKdPE2984o&t=385s
 
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.

Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.

1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.

Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Kama wewe ni mfupi ndo mko hivyo, shotii wanakuwaga na hasira kishenzi.
 
Siku hizi watu wa JF hamko serious hata kidogo.

Mleta mada kama una uwezo waone wataalamu wa afya ya akili, watakusaidia.

Anger issues sio kitu ya kuchukulia kawaida, utakuja kuoverreact kwenye jambo ukasababisha madhara ya kujutia maisha.
 
Back
Top Bottom