Duuh na Kuna platinum member wanamatatizo kama weweUna hormone za nanilii wewe... Kimbia kwa wataalam chap
Hiyo ni Kuwa wewe ni mgonjwa wa Pressure! Tibu hiyo BP na tabia hiyo itakomaHasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.
Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Pole sana una majini itakuaNaombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Kapime UKIMWI harakaHasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa nakasirika
2.nikiongea na mtu Ambae hanielewi nakasirika
3.siongei mara mbili ni moja nataka majibu.
Naombeni msaada hii ni Nini sipendi kabisa Tabia hii
Kama wewe ni mfupi ndo mko hivyo, shotii wanakuwaga na hasira kishenzi.Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.